HABARI ZILIZOTUFIKIA
Yanga yatangaza kamati mpya ya Uchaguzi
Lulu Ringo, Dar es Salaam
Klabu ya
Yanga imeunda kamati mpya ya uchaguzi mdogo ambayo itashirikiana na Shirikisho
la Mpira...
SIASA
Maumivu yanayotokana na kuahirisha uchaguzi Nigeria
Wagombea urais Atiku Abukabari (kushoto) na Rais Muhammadu Buhari.
JOSEPH HIZA NA MTANDAO
KATIKA siku
waliyotarajia...
CUF Lipumba wajipanga kuteua bodi mpya
PATRICIA KIMELEMETA-DAR ES SALAAM
CHAMA Cha Wananchi (CUF) upande wa Mwenyekiti wa chama
hicho anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili...
MAONI
Kauli ya IGP Siro kwa trafiki isimamiwe vizuri
TUMEPATA kuandika mara
nyingine na leo tunarudia kwamba askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani
(trafiki), wanahitaji kuwa na elimu ya ziada ili kuondokana na...
BUNGENI
Bilioni 500/- zalipwa kwa wakulima wa korosho
MWANDISHI WETU-DODOMA
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amesema zaidi ya Sh
bilioni 500 zimelipwa kwa wakulima wa korosho kati ya Sh...
Mbunge ataka bungeni kifungwe kifaa cha kutambua wabunge wasiotahiriwa
RAMADHAN HASSAN-DODOMA
KATIKA hali
isiyokuwa ya kawaida, Mbunge wa Viti Maalum Jacklin Ngonyani (CCM), ametaka
bungeni kufungwe mashine maalum ya...
Mbunge ataka bodaboda iwe biashara rasmi
Na RAMADHAN HASSAN -DODOMA
MBUNGE wa Lushoto, Shabani Shekilindi (CCM) amehoji ni kwanini Serikali haiwajengei uwezo wasafirishaji...
Mbizo za Mwijage zazua mjadala bungeni
Na RAMADHAN HASSAN-DODOMA
MBIO za aliyewahi kuwa Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage zimewashangaza wengi, huku wabunge...
MICHEZO
Yanga yatangaza kamati mpya ya Uchaguzi
Lulu Ringo, Dar es Salaam
Klabu ya
Yanga imeunda kamati mpya ya uchaguzi mdogo ambayo itashirikiana na Shirikisho
la Mpira...
Zahera aahidi kuvunja mwiko Kirumba
DAMIAN MASYENENE, MWANZA
MSAFARA wa kikosi cha Yanga umetua jana Mwanza kwa
ndege asubuhi na kupokelewa kwa shangwe kubwa...
Coulibaly alivyobadilisha mitazamo ya mashabiki Simba
BADI MCHOMOLO, DAR ES SALAAM
AKIBA ya maneno ni silaha kubwa sana hasa pale unapokosa
uhakika wa jambo....