28.7 C
Dar es Salaam
Friday, May 24, 2024

Contact us: [email protected]

Shinda Tsh Milioni 650,000,000/= za Meridianbet

Siku zote kwenye Maisha unaambiwa usipende sana kuomba hela ya kula bali omba kazi, huwa iko hivi hata uchawa una mwisho wake kama huwezi kujishughulisha na kufanya kazi. Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet imekuja na promosheni kabambe itakayokupatia hela kirahisi kwa dau dogo sana.

Promosheni ya kasino ya mtandaoni inakuja na kiasi cha Tsh Milioni 650,000,000/= ambapo pesa hizi zitagawanywa kwa awamu 12 kwa wiki 4. Haya yote unayapata kwenye shindano jipya la Drops & Wins yenye sloti kibao kama vile Juice Fruit, Rise of Giza, wild walker, Christmas Carol megaway.

Mashindano haya yatadumu kwa mwaka mzima yaani siku 336 ambapo Sloti ya Drops & Wins imeanza tangu Aprili 5 na itadumu mpaka Machi 2024, jumla ya kiasi cha Tsh Milioni 90,000,000/= kutolewa bila mpamgilio kila siku.

Jisajili Shindano la Awamu ya Kwanza

Awamu ya kwanza ya shindano hili la Drops & Wins itakuwa kwa wiki 4, ambapo kasino ya mtandaoni ya Meridianbet itakupatia mkwanja muda wote huo kuanzia Aprili 5 mpaka Mei 3 2023 utakapokuwa unacheza michezo ya sloti ya kasino ya mtandaoni.

Vigezo vya kuorodheshwa nafasi za juu.

Ushindi mkubwa na wa kipekee kulinganisha na dau kubwa. Kiwango kikubwa cha ushindi wa kipekee kulinganisha na dau, juu ya mstari wa chini.

Jumla ya zawadi katika awamu zote ni TZS 650,000,000, zikigawanywa mara 12,000 kwenye pesa taslimu na mizunguko ya bure.

Drops & Wins ni shindano la Kasino ya mtandaoni na litapatikana kwenye maeneo yote ya Meridian na Meridianbet. Jiunge sasa kupitia www.meridianbet.co.tz ukausake utajiri.

NB: Meridianbet wana haki ya kubadili au kusitisha promosheni wakati wowote.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles