Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital
Serikali kupitia Wizara ya Fedha inatarajia kukusanya sh bilioni 100 kila mwaka kutokana na uwekezaji wa dola 20 milioni uliofanywa...
Leo ni ' Mapinduzi Day'.Ifahamike hapa, kuwa katika Zanzibar, Sherehe za Mapinduzi ndio sherehe kubwa kuliko zote ikiwamo za kiimani.
Shamrashamra za kuelekea siku ya...
Na Nora Damian, Mtanzania Digital
Kamati za Kudumu za Bunge za miundombinu na Bajeti zimelishauri Shirika la Reli nchini (TRC) kufunga kamera za usalama (CCTV)...
Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital
Mabondia maarufu wa ngumi za kulipwa nchini, Karim Mandonga na Dulla Mbabe wameahidi kuwapa raha mashabiki wa masubwi Tanzania hasa...
Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital
Kocha Mkuu wa Simba Fadlu Davids, amesema wamefanya maandalizi ya kutosha kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Bravos do Maquis...
Na Mwandishi Wetu
Mkuu wa Polisi Jamii Kamisheni ya Polisi Zanzibar, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Jonas Mahanga amesema suala la ulinzi na usalama...
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital
Yanga imemtangaza kocha Sead Ramovic raia wa Ujerumani kuchukua nafasi ya Miguel Gamond.
Kocha huyo mwenye umri wa miaka 45, alikuwa...
Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital
Mechi ya Dabi ya Kariakoo ya Ligi ya Wanawake Tanzania Bara, Yanga Princess dhidi ya Simba Queens inatarajiwa kupigwa kesho...
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital
KAMPUNI namba moja ya michezo ya kubashiri nchini Betika imezindua rasmi Kampeni yake kubwa ya "Mtoko wa Kibingwa" kwa Msimu...