22.5 C
Dar es Salaam
Sunday, July 21, 2024

Contact us: [email protected]

Zawadi Mbalimbali Kutolewa na “Meridianbet Vuna Zaidi na Airtel Money”

Leo hii Agosti 1 Meridianbet imekutana na waandishi wa habari eneo la Four Points by Sheraton Posta kwaajili ya uzinduzi wa kampeni yao ya Vuna Zaidi na Airtel Money ambayo imeanza leo na kikomo chake ni Septemba 15 mwaka huu wa 2023.

Promosheni hii ni kwaajili ya wateja wanaotumia mtandao wa Airtel Money kufanya miamala kuelekea Meridianbet na kufanya ubashiri wa mechi mbalimbali au kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama Aviator, Roullette, Poker, Wild Icy Fruits na mingine mingi.

Ni kwa shilingi elfu kumi pekee inayokufanya uwe mshiriki wa promosheni hii ambayo imekuja kivingine kabisa kwani zawaid ni za kutosha kabisa. Ligi zinakaribia kuanza hivyo weka pesa yako kuanzia sasa na uanze kujiweka kwenye nafasi ya kuwa bingwa wa zawadi zinazotolewa na Meridianbet.

Sub-Heading:

Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii

Furahia huduma zinazotolewa na Meridianbet ikiwemo mechi kibao unazotaka, michezo ya kasino na mingine kibao. Ndio maana wanakwambia Meridianbet  “CHAGUA TUKUPE” yaani kila unachotaka wao wakupatia, hivyo kazi ni kwako wewe tuu.

Ili uweze kushiriki promosheni hii weka shilingi  (10000) kwenye akaunti yako ya Meridianbet na uanze kubashiri sasa mechi mbalimbali na kucheza michezo ya kasino itolewayo ili kujihakikishia nafasi kubwa ya kujishindia zawadi ufanyapo miamala mara nyingi.

 Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Kupitia Meneja Malipo wa Meridianbet Bibi Dora Kinyaiya amesema kuwa zawadi zitakuwa zikitolewa kwenye siku maalumu, mfano bonasi na simu zitatolewa kila siku ya Alhamisi na Jumapili, ambapo ni wiki ile inayokuja baada ya droo kuchezeshwa na kwa upande wa bodaboda kwa washindi itatolewa kwa siku mbili ambapo ni tarehe 25 ya mwezi huu na mwisho wa promosheni ndipo bodaboda nyingine itatolewa tarehe 15.

Ndugu mteja endelea kubeti na Meridianbet huku ukisubiri mechi za ligi zote kurejea wiki ijayo na kwasasa odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Usijaribu kukosa promosheni hii muda ndio huu jisajili na uwepe pesa yako uanze kubashiri kwani zawadi zipo kwaajili yako wewe mteja hivyo kucheza kwako mara nyingi ndiko kujiweka kwenye nafasi ya kujishindia Simu aina ya Samsung, bodaboda pamoja na kupewa bonasi za kucheza michezo na kasino.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles