23.8 C
Dar es Salaam
Sunday, May 12, 2024

Contact us: [email protected]

Barabara yamogoka kimazichana safari Lindi, Mtwara na Kwingineko hatarini

Na Mohammed Ulongo

Wakazi wa Kimazichana Mkoani Pwani wamefikwaa na hadha ya kumogoka kwa sehemu ya barabara kuu inayounganisha maeneo mbalimbali ikiwemo mikoa ya kusini mapema hii leo.

Akizungumza na mtanzania digital shuhuda wa tukio hilo aliyejitambulisha kuwa Mudhihiri Muhsin kutoka eneo hilo amesema kuathirika kwa barabara hiyo ni kutokana na mvua zinazoendelea Kunyesha Huku akisema kiasi kingi cha mvua iliyonyesha alfajiri ya kuamkia leo ndiyo imepelekea madhara hayo.

Mtanzania Digital tuta kuhabarisha kila kinachoendelea kutoka katika eneo hilo .

PICHA MBALIMBALI ZIKIONESHA HALI HALISI YA ATHARI ZILIYOJITOKEZA

TAARIFA MBAYA ILIYOTUFIKIA MUDA HUU! BARABARA KUU YA KWENDA MTWARA, LINDI YAMOGOKA KIMAZICHANA (youtube.com)

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles