HABARI ZILIZOTUFIKIA

Picha zisizo na maadili mtandaoni zamponza Sister Fey

Bethsheba  Wambura, Dar es Salaam Jeshi la polisi nchini linamshikilia msanii wa muziki na filamu Faidha Omary maarufu Sister Fey kwa matumizi mabaya mitandao ya...

SIASA

BOB WINE ATEMA CHECHE

WAKISO, UGANDA HATIMAYE Mbunge wa Jimbo la Kyadondo Mashariki, Robert Kyagulanyi ambaye ni mwanamuziki maarufu anayefahamika kwa jina la Bob Wine, amewaambia ukweli wananchi juu...

Tume ya uchaguzi yamshukia Mbowe

Na ANDREW MSECHU-DAR ES SALAAM MKURUGENZI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Athuman Kihamia amemtaka Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amuombe radhi ndani ya...

TUFUATE MITANDAONI

66,646FansLike
31,515FollowersFollow
0SubscribersSubscribe

BIASHARA NA UCHUMI

- Advertisement -

MAONI

Machinga jalini usalama wenu kwanza fedha baadae

 Na Frank Kagumisa (SAUT) UKOSEFU wa ajira umewafanya watu  wengi kujihusisha na shughuli ndogo ndogo ili kujiingizia kipato. Hakuna kulala, hivi ndivyo unavyoweza kusema hasa ukipita...

BUNGENI

NDUGAI: BUNGE SI LA VIJANA

Na ESTHER MBUSSI-DODOMA SPIKA wa Bunge, Job Ndugai, amewasilisha bungeni takwimu za umri na kiwango cha elimu cha wabunge wote ambapo wenye Shahada za Uzamivu...

KANGI AWAKINGIA KIFUA POLISI MAUAJI YA RAIA

Na ESTHER MBUSSI-DODOMA Waziri  wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amesema anashangaa kwa nini wananchi huchukua hatua ya kuchoma kituo cha polisi   inapodaiwa...

LUGOLA AWAHOJI WANANCHI: KWANINI WANAOFARIKI WAKIJAMIIANA HAMCHOMI MOTO VITANDA VYAO?

Mwandishi Wetu, Dodoma Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amesema anashangaa kwanini wananchi huchukua hatua ya kuchoma Kituo cha Polisi pindi inapodaiwa...

NDUGAI ATAKA MAWAZIRI KUWAJIBU WAPINZANI KWENYE MITANDAO

 Na ESTHER MBUSSI,DODOMA Spika wa Bunge, Job Ndugai, amesema imekuwa kawaida kwa wabunge wa upinzani kuchokoza Serikali kwa kuuliza maswali bungeni kisha kutoka nje na...

AFYA NA JAMII

- Advertisement -

MICHEZO

DIAMOND, MORGAN HERITAGE WAINGIA TENA JIKONI

BAADA ya kufanya vizuri na wimbo Hallelujah miezi 11 iliyopita, staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz na kundi maarufu kutoka  Jamaica, Morgan Heritage  wapo...

WASANII WASAIDIWE KUZIFIKIA DILI ZA KIMATAIFA

NA CHRISTOPHER MSEKENA WAKATI tukishuhudia wasanii wachache wasiopungua watatu kutoka Tanzania wakipata nafasi ya kushiriki katika dili za kimataifa, tunapaswa kutafakari namna nyingine sahihi ya...

Arsenal wamkumbuka Arsene Wenger

LONDON, ENGLAND ALIYEKUWA beki wa kati wa klabu ya Arsenal, Per Mertesacker, amefunguka na kusema, wachezaji walichangia kumwangusha aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Arsenal Wenger,...