UNYAMA…

gazeti la Mtanzania

gazeti la Mtanzania NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM CHUO Kikuu cha Kimataifa Matibabu na Teknolojia (IMTU) kilichopo Mbezi Beach, jijini Dar es Salaam ndicho kinahusika na tukio la kinyama la kuichuna, More...

by france | Posted 12 masaa tangu habari iwekwe

UNYAMA…

gazeti la Mtanzania

gazeti la Mtanzania NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM CHUO Kikuu cha Kimataifa Matibabu na Teknolojia (IMTU) kilichopo Mbezi Beach, jijini Dar es Salaam ndicho kinahusika na tukio More...

Shehena ya viungo vya binadamu yanaswa

mabaki ya miili ya watu

Wananchi wakiangalia mifuko yenye viungo mbalimbali vya binadamu vilivyokutwa katika Bonde la Mweni Mpiji wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam jana. Picha ndogo kushoto ni More...

Wizi mpya wa watoto waibuka Dar

Merryn Reppyson

Mtoto aliyeibwa, Merryn Reppyson Na Aziza Masoud, Dar es Salaam MTINDO mpya wa kuiba watoto jijini Dar es Salaam, umezusha hofu kwa wazazi na walezi hali inayofanya baadhi yao More...

Hassana Hidda

Mkurugenzi Jiji la Mwanza aonya wanasiasa

Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza, Hassana Hidda Na John Maduhu, Mwanza MKURUGENZI Jiji la Mwanza, Hassana Hidda, amewataka wanasiasa kuacha siasa katika utekelezaji wa majukumu ya More...

Nitatangaza kugombea urais muda ukifika – Ngeleja

Mbunge wa Jimbo la Sengerema, William Ngeleja NA PETER FABIAN MBUNGE wa Jimbo la Sengerema , William Ngeleja (CCM), amesema anangoja muda uwadie ili naye atangaze nia yake ya More...

Aliyemmwagia sheha tindikali akamatwa

Mohammed Omar Saidi Kidevu

Sheha wa Shehia ya Tomondo mjini Zanzibar aliyemwagiwa tindikali, Mohammed Omar Saidi Kidevu Na Mwandishi Wetu, Zanzibar MAKACHERO More...

Raza awakingia kifua Ukawa

Mohamed Raza

Na Is-haka Omar, Zanzibar MWAKILISHI wa Uzini, Mwakilishi wa Uzini, Mohamed Raza (CCM) (CCM) ameibuka na kuwakingia More...

Marcio Maximo Stars yampa somo Maximo

NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM UBUTU wa safu ya ushambuliaji ya Timu ya Taifa ‘Taifa...

Samata Bwana Samatta akosa ulaji Ulaya

Na Abducado Emmanuel, Dar es Salaam MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta, anayechezea timu ya...

Santos Santana ‘Jaja’ Jaja asaini miaka miwili Yanga

NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM KLABU ya Yanga jana imeingia mkataba wa miaka miwili na...

UN yamchokonoa Rais Kagame

Paul Kagame

Rais wa Rwanda, Paul Kagame Patricia Kimelemeta na Oliver Oswald, Dar es Salaam UMOJA wa Mataifa (UN), umemtaka More...

RIPOTI MAALUM- 3: Mashitaka ya Ballali

Na Waandishi Wetu MASHITAKA dhidi ya marehemu Daudi Ballali kama yalivyoitwa na wadadisi na wafuatiliaji wa mambo, yaliandaliwa na wabunge wa..

Mashine za BVR zageuka mwiba kwa NEC

Patricia Kimelemeta na Grace Shitundu TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetoa ufafanuzi kuhusu ununuzi wa mashine za Biometric Voter Registration..

NCCR-Mageuzi kuipeleka IPTL kwa wananchi

David Kafulila

GRACE SHITUNDU NA NEEMA BARIKI (TSJ) CHAMA cha NCCR Mageuzi kimetangaza kulipeleka sakata la IPTL kwa wananchi More...

Serikali kujenga nyumba nje ya nchi

NA ESTHER MBUSSI, DODOMA SERIKALI inakusudia kujenga nyumba katika balozi zake nje ya nchi ili kupunguza gharama ya pango katika nchi..

Ushuru wa magari chakavu juu, vinywaji baridi chini

Na Khamis Mkotya, Dodoma WAZIRI wa Fedha, Saada Salum Mkuya, juzi aliwasilisha Muswada wa Sheria ya Fedha wa mwaka 2014, ambao..

Tiketi bandia zaitia hasara MSC

meli mwanza Na Mwandishi Wetu, Mwanza KAMPUNI ya Huduma za Meli (MSC) inapata hasara kutokana na kuwapo tiketi bandia zinazoingizwa kwenye mauzo na..

Kafulila: IPTL acheni kuweweseka

David Kafulila Na Fredy Azzah MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi), amesema ataendelea kupiga kelele mpaka fedha zilizochotwa kwenye Akaunti ya Escrow..
Dk Charles Msonde

Walimu wafaulu kwa kishindo

Na Mwandishi Wetu Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa, Dk Charles Msonde, ametangaza matokeo ya ualimu kwa ngazi..
Wastara Thomas

Wastara: Nimeridhika na mwanaume aliyenivisha pete

NA RHOBI CHACHA, DARE S SALAAM MWIGIZAJI wa filamu nchini, Wastara Juma, amesema kuwa mwanaume aliyemvisha pete ndiye aliyeridhika naye kutoka..
Dk Charles Msonde

Walimu wafaulu kwa kishindo

Na Mwandishi Wetu Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa, Dk Charles Msonde, ametangaza matokeo ya ualimu kwa ngazi..