Uamuzi mgumu CCM

mangula

Na Khamis Mkotya, Dodoma NI uamuzi mgumu, ndivyo unavyoweza kusema wakati Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CC) inapoanza vikao vya juu mjini Dodoma leo. Vikao hivyo ni mwelekeo wa chama kuelekea uchaguzi More...

by france | Posted 18 hours ago

‘Nchi hivi sasa inayumba’

JOSEPH SINDE WARIOBA (TUME YA KATIBA TANZANIA)

Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam VIONGOZI wastaafu na wasomi nchini wamesema hivi sasa taifa linakabiliwa na viashiria vya uvunjivu wa amani hali inayosababisha nchi kuyumba. Kutokana More...

Moto majimbo mpya

Veronica Romwald na Shabani Matutu, Dar es Salaam MVUTANO mpya unarajiwa kuibuka katika ugawaji wa majimbo mapya kati ya vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) More...

Mafuriko ni vilio Dar

Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam WATU wanane wamefariki dunia kutokana na mafuriko ya mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam. Akitoa taarifa ya vifo hivyo Dar es Salaam More...

Mtoto wa miaka 13 ajinyonga baada kukutwa na barua ya mapenzi

NA TWALAD SALUM, MISUNGWI MWANAFUNZI wa darasa la saba wa Shule ya Msingi Mwagiligili, iliyopo Misungwi, mkoani Mwanza, Rahel Emmanuel (13), amekutwa amekufa baada ya kujinyonga More...

Filikunjombe: Ziwa Nyasa lipo salama

Na Mwandishi Wetu, Ludewa MBUNGE wa Ludewa, Deo Filikunjombe (CCM), amewataka wananchi wanaoishi mwambao wa Ziwa Nyasa kufanya shughuli zao, kwani mazungumzo ya kutafuta amani More...

Vigogo CUF waanguka ubunge

Rajab-Mohamed-Mbarouk-2

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar MATOKEO ya awali ya kura za maoni kwa wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) wanaowania Ubunge More...

Seif azidi kuitesa CCM Zanzibar

maalim-seif

Na Is-haka Omar, Zanzibar SIKU chache baada ya Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Seif Sharif Hamad, kuelezea More...

Kibarua cha Nooij shakani

ABDUCADO EMMANUEL NA MWALI IBRAHIM, DAR KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, ‘Taifa Stars’,...

Pluijm Pluijm: Sitaki mazoea Yanga

NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Hans Van der Pluijm,...

Kiwango Stars chakera Watanzania

NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM KIWANGO kibovu kilichoonyeshwa na timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa...

Nkurunziza aahirisha uchaguzi wa wabunge

Rais Pierre

Bujumbura, BURUNDI RAIS wa Burundi, Pierre Nkurunziza ameahirisha uchaguzi wa wabunge uliokuwa ufanyike Jumanne More...

Serikali yazungumzia hatima ya watanzania waliopo Burundi

NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM SERIKALI imesema itawaondoa Watanzania walioko Burundi baada ya kupata maombi yao kama wana matatizo kutokana..

Burundi hakukaliki

Na Waandishi Wetu, Bujumbura na Dar WAKATI askari wakijaribu kuzuia maandamano yaliyoanza upya jana tangu Rais Pierre Nkurunzinza arejee nyumbani baada..

Wabunge: Wizi huu haukubaliki

Na Khamis Mkotya, Dodoma BAADHI ya wabunge wamezungumzia ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali More...

RIPOTI YA CAG Ni madudu kila kona

Na Arodia Peter, Dodoma RIPOTI ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imeibua ufisadi mkubwa katika mamlaka za..

Ikulu yatengewa Sh bilioni 20

Na Khamis Mkotya, Dodoma WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani, amewasilisha makadirio ya bajeti..

Ikulu: Ripoti ya Tokomeza, Escrow hazitatolewa

sefue Na Fredy Azzah, Dar es Salaam KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, amesema ripoti za uchunguzi ya Operesheni Tokomeza na suala..

Kimbunga cha ubunge chawakumba vigogo CUF

Adam Mkwepu na Michael Sarungi Dar es Salaam WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) wa wilaya za Kinondoni,..
Kuanzia kushoto; Jonny Biggins, Steve Hanson na Jason Bramley walivaa mimba bandia kwa mwezi mmoja

Wanaume wabeba matumbo bandia kuonja uchungu wa kujifungua.

BAADA ya kuhangaika nayo tumboni kwa miezi tisa, hatimaye siku ya siku imefika kwa mtoto mtarajiwa kukaribia kuzaliwa. Baada ya kero,..
BATULI 2

BATULI: Kanumba kama kaacha laana kwenye filamu za bongo

NA FESTO POLEA APRILI 7 mwaka 2012 tasnia ya filamu ilipatwa na majonzi makubwa kutokana na kifo cha aliyekuwa mwigizaji nguli,..
Kuanzia kushoto; Jonny Biggins, Steve Hanson na Jason Bramley walivaa mimba bandia kwa mwezi mmoja

Wanaume wabeba matumbo bandia kuonja uchungu wa kujifungua.

BAADA ya kuhangaika nayo tumboni kwa miezi tisa, hatimaye siku ya siku imefika kwa mtoto mtarajiwa kukaribia kuzaliwa. Baada ya kero,..