HABARI ZILIZOTUFIKIA
Kesi ya wanakwaya walioshtaki kanisa kusuluhishwa
ERICK MUGISHA - DAR ES SALAAM
Upande
wa Jamuhuri katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es salaam umesema
jalada...
SIASA
Magufuli: Viongozi epukeni kuongoza kwa mazoea
Anna Potinus
Rais John Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa amewataka viongozi wa chama...
Finland yatarajia kuwa na Waziri Mkuu mdogo zaidi duniani
SANNA Marin, ni Waziri Mkuu mpya nchini Finland, anayetarajiwa kuapishwa wiki hii.
Waziri huyu atakuwa ndiye waziri mkuu
mwenye umri...
BIASHARA NA UCHUMI
MAONI
Wafungwa walioachiwa wasirudie makosa
RAIS Dk. John Magufuli juzi ametangaza msamaha wa wafungwa 5,533 kwa mamlaka aliyonayo kikatiba.
Rais
Dk. Magufuli alitangaza msamaha huo...
BUNGENI
Mbunge Matiko aeleza walivyosotea viapo vya mawakala wao
Kulwa Mzee, Dar es salaam
MBUNGE wa
Tarime Mjini, Esther Matiko (Chadema), amedai mahakamani kwamba anamiliki
silaha (bastola) aina ya...
Wanawake waliotelekezwa wapewa rungu
RAMADHAN HASSAN-DODOMA
WANAWAKE waliotelekezwa na waliotelekezewa watoto, wametakiwa kufika
katika Ofisi za Ustawi wa Jamii kwenye halmashauri zao ili hatua...
Majaliwa ataka wananchi kujitokeza kampeni Uchaguzi Serikali za Mitaa
RAMADHAN HASSAN-DODOMA
WAZIRI Mkuu
Kassim Majaliwa amesema kila Mtanzania atapata haki yake ya msingi katika Uchaguzi
wa Serikali za Mitaa utakaofanyika...
Ndugai asema Mbowe ni mtoro bungeni
RAMADHAN HASSAN-DODOMA
SPIKA wa
Bunge, Job Ndugai amedai nafasi ya kuuliza swali la kwanza katika kipindi cha
maswali ya papo kwa...
AFYA NA JAMII
MICHEZO
Arsenal, Man City katika vita ya kibabe leo
LONDON, England
KIKOSI cha Arsenal leo kitashuka dimbani kuikaribisha Manchester City katika mchezo wa Ligi Kuu England utakaochezwa kwenye...
Salah azidi kuipaisha Liverpool
LIVERPOOL, ENGLAND
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Misri, Mohammed Salah jana alifunga mabao mawili yaliyoiwezesha timu yake ya Liverpool kuibuka...
Yanga, Simba wamlilia Mzee Akilimali
NA JESSCA NANGAWE
UONGOZI wa klabu ya Yanga umetuma salaam za pole kwa aliyekuwa Katibu wa Baraza la Wazee...
SPONSORED ARTICLES
Asilimia 80 ya udongo wa Tanzania unahitaji mbolea ya Minjingu
Na
Mwandishi Wetu
TAKRIBANI
asilimia 80 ya Watanzania ni wakulima. Shughuli hiyo ndiyo inawaingizia kipato
ili waweze kukidhi mahitaji yao muhimu, ikiwamo...
Utafiti ulivyotoa matumaini kuongezeka uhai Stamigold
Na Mwandishi Wetu
MGODI wa Stamigold Biharamulo (SBM) umeendelea kuajiri Watanzania pekee kwa uendeshaji wa
shughuli mbalimbali.
Stamigold ilivyojipanga kujiendesha kwa faida, kulipa kodi za Serikali
Na Mwandishi Wetu
JULAI 2017, ikiwa ni
miaka miwili tangu kuingia madarani, Rais Dk. John Magufuli alianza kufumua
sekta ya madini,...