WIMBO WAMTIA MATATANI NAY WA MITENGO

NA MWANDISHI WETU, Jeshi la polisi mkoani Morogoro linamshikilia msanii wa muziki wa kizazi kipya Nay wa Mitego kwa tuhuma ya kutunga nyimbo ya uchochezi. Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro, Urlich Matei amesema kuwa Nay alikamatwa jana saa nane usiku wilayani Mvomero mara baada ya polisi mkoa wa Morogoro kupewa More...

by Mtanzania Digital | Published 7 hours ago
By Mtanzania Digital On Sunday, March 26th, 2017
Maoni 0

MATUMIZI YA INTANETI YANAHITAJI UANGALIFU

NA AZIZA MASOUD, MAMILIONI ya vijana duniani kote wanatumia intaneti, iwe nyumbani, shuleni, kwenye nyumba za marafiki au kwenye simu zao za mkononi. Watoto watundu wa sasa wanaielewa sana dunia ya intaneti More...

By Mtanzania Digital On Sunday, March 26th, 2017
Maoni 0

VITA BINAFSI IMETUTOA KWENYE MSTARI

NA INNOCENT NGANYAGWA, KWA kuwa Mungu ndiye aliyeumba vyote vionekanavyo duniani, ndivyo  alivyo na majibu ya kila jambo linalotokea. Ndiyo maana hakuna jipya chini ya jua. Yanayogusa hisia za watu More...

By Mtanzania Digital On Sunday, March 26th, 2017
Maoni 0

KUACHILIWA HURU HOSNI MUBARAK KUMEACHA SOMO GANI KWA TAIFA LETU?

NA YAHYA MSANGI, LOME-TOGO HOSNI Mubarak alipinduliwa mwaka 2011 na alikuwa rais wa kwanza kushtakiwa katika kile kimbunga cha Kiarabu (Arab Spring). Sasa Mubarak yupo huru baada ya kuachiliwa na Mahakama More...

By Mtanzania Digital On Sunday, March 26th, 2017
Maoni 0

SALAMU KWA RAIS WANGU MAGUFULI

Baadhi ya waandishi wa habari NA MARKUS MPANGALA RAIS wangu John Magufuli, ninakutii kwa akili, moyo, nguvu na kutoa heshima zangu zote kwako na mamlaka uliyonayo. Nafanya hivyo nikitambua kuwa, wewe ni kama More...

By Mtanzania Digital On Sunday, March 26th, 2017
Maoni 0

KINGUNGE: WATU WAMEBANWA WATAKAPOPUMUA LITAKUWA GHARIKA

NA EVANS MAGEGE, “WATU watakuwa wamebanwa hata kupumua wanashindwa, siku watakapopumua litakuwa ni gharika, kwa hiyo lazima tufanye mabadiliko ambayo ni chanya na si hasi,” hii ni kauli ya mwanasiasa More...

By Mtanzania Digital On Sunday, March 26th, 2017
Maoni 0

CCM WASIFANYE KOSA KAMA ANC

Rais Magufuli (kulia) akisalimiana na Nape Nnauye Na BALINAGWE MWAMBUNGU, “GOLI ni goli tu hata kama ni la mkono.” Naikumbuka sana kauli hii aliyoitoa Nape Moses Nnauye wakati wa kampeni ya kumnadi More...

By Mtanzania Digital On Sunday, March 26th, 2017
Maoni 0

JANUARY ATAJA ENEO HATARISHI SAME

Na Dennis Luambano – Same WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), January Makamba, amesema anakusudia kulitangaza eneo la Ndolwa lililopo Kata ya Mamba Myamba, Wilaya ya Same More...

By Mtanzania Digital On Sunday, March 26th, 2017
Maoni 0

MA-RPC KUJADILI MBINU MPYA KUPAMBANA NA UHALIFU

Na Mwandishi Wetu – Dodoma MAOFISA wakuu wa Jeshi la Polisi nchini wanatarajia kukutana mkoani hapa kuanzia kesho kwa kikao kazi cha siku tatu kujadili na kupanga mikakati ya kukabiliana na uhalifu More...

By Mtanzania Digital On Sunday, March 26th, 2017
Maoni 0

RIPOTI MAALUMU: MTANDAO MPYA WIZI VIPURI VYA MAGARI

EVANS MAGEGE na FARAJA MASINDE-DAR ES SALAAM KASI ya wizi wa vipuri vya magari sasa inadaiwa kufanywa na kutekelezwa chini ya mtandao mpya na mpana unaohusisha watu wa kada tano tofauti. Kwa muda sasa More...