MADAI YA RUSHWA, VITISHO VYATAWALA UCHAGUZI UVCCM NYAMAGANA

Na PETER FABIAN-MWANZA UCHAGUZI wa marudio wa Jumuiya ya Vijana wa CCM (UVCCM) Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza, unadaiwa kutawaliwa na vitendo vya rushwa, vitisho, matusi na ulinzi mkali wa mgambo wa Jiji la Mwanza na kusababisha baadhi ya wajumbe kuandamana hadi ofisi za CCM mkoa kupinga matokeo ya mshindi. Hali hiyo ilianza kujitokeza wakati wajumbe More...

by Mtanzania Digital | Published 2 months ago
By Mtanzania Digital On Saturday, September 23rd, 2017
Maoni 0

FISI ALETA TAHARUKI HOSPITALI YA KAHAMA

Na PASCHAL MALULU-KAHAMA KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, mnyama mkali aina ya fisi ameonekana akirandaranda katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Kahama mkoani Shinyanga na kusababisha taharuki kubwa kwa More...

By Mtanzania Digital On Monday, September 18th, 2017
Maoni 0

MADIWANI GEITA WAKACHA KIKAO WAKIHOFIA KUKAMATWA

Mkutano kati serikali na Madiwani wa Halmashauri za Mji na Wilaya mkoani Geita, umeshindwa kufanyika kutokana na  madiwani kutofika kwa hofu ya kukamatwa na polisi. Mkutano huo uliopangwa kufanyika leo Jumatatu More...

By Mtanzania Digital On Monday, September 18th, 2017
Maoni 0

WATUMISHI WA AFYA WAIHUJUMU SERIKALI MAGU

  Na MASYENENE DAMIAN-MWANZA BAADHI ya watumishi katika Idara ya Afya wilayani Magu mkoani Mwanza, wameendelea kupuuza maagizo mbalimbali yanayotolewa na Serikali kuhusu dawa za binadamu kwa kuendelea kuuza More...

By Mtanzania Digital On Thursday, September 14th, 2017
Maoni 0

KAMPUNI YAKOPESHA WAKULIMA MBEGU ZA MILIONI 119/-

Na RAPHAEL OKELLO-BUNDA KAMPUNI ya Olam Tanzania imewakopesha wakulima wa pamba, mbegu kilo 169,657 zenye thamani ya Sh milioni 118.7 katika msimu wa kilimo uliomalizika wa mwaka 2016/2017. Meneja wa Zabuni wa More...

By Mtanzania Digital On Thursday, September 14th, 2017
Maoni 0

RC ASISITIZA UMUHIMU KUHIFADHI MAZINGIRA

NA SHOMARI BINDA MKUU wa Mkoa wa Mara, Dk.Charles Mlingwa, amewataka wananchi kuwa mstari wa mbele katika kupambana na uhalribifu wa mazingira ikiwamo uhifadhi wa bonde la mto Mara   kuwafanya wanyama wanaovuka More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, September 12th, 2017
Maoni 0

WATAKIWA KUTUMIA MIFUGO KUSOMESHA WATOTO

Na Ahmed Makongo WAFUGAJI katika Halmashauri ya Mji wa Bunda wametakiwa kutumia rasilimali yao ya mifugo kusomesha watoto wao waweze kupata elimu inayostahili itakayowasaidia katika maisha yao ya baadaye. Mkuu More...

By Mtanzania Digital On Thursday, September 7th, 2017
Maoni 0

WANANCHI WALALAMIKA AGIZO LA RAIS  KUPUUZWA

  Na DERICK MILTON WAKAZI wa Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu wamemlalamikia Mkuu wa Mkoa, Anthony Mtaka, kuwa wamekuwa wakiendelea kutozwa ushuru na halmashauri ya wilaya hiyo licha ya kupigwa marufuku na More...

By Mtanzania Digital On Friday, September 1st, 2017
Maoni 0

KAMPUNI ZINAZOCHIMBA VISIMA ZAASWA KUWA NA LESENI

  Na JUDITH NYANGE KAMPUNI zinazochimba visima virefu vya maji katika mikoa ya Kanda ya Ziwa zimetakiwa kufanya kazi  zao kwa mujibu wa sheria na kanuni za uchimbaji wa visima. Kanuni hizo ni pamoja na kuwa More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, August 22nd, 2017
Maoni 0

AUAWA KWA RISASI AKIJARIBU KUIBA BENKI NBC

NA TIMOTHY ITEMBE MTU Mmoja ambaye jina lake halikufahamika anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka kati ya 30-35 ameuawa kwa risasi na polisi baada ya kuingia katika benki ya NBC usiku. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi More...

Translate »