LEGEND AFUNGUKA JINA MILES THEODORE

LOS ANGELES, MAREKANI MWANAMUZIKI wa Marekani, John Legend, ameeleza maana ya jina la mwanawe wa pili, Miles Theodore Stephens kuwa linawakilisha mwanamuziki nguli, Miles Davis. Hatua hiyo inakuja siku chache, baada ya  Legend, kumkaribisha mtoto wake huyo wa pili na kumpa jina la Miles Theodore Stephens. “Tulimpa mtoto wetu wa kwanza wa kike jina More...

by Mtanzania Digital | Published 3 days ago
By Mtanzania Digital On Tuesday, May 22nd, 2018
Maoni 0

BEYONCE ANUNUA KANISA MAREKANI

NEW YORK, MAREKANI MWANAMUZIKI wa Marekani, Beyonce Knowles, amekuwa mmiliki mpya wa Kanisa la New Orleans Church, ambalo lina umri wa zaidi ya miaka 100. Beyonce alinunua kanisa hilo ambalo lilikuwa likinadiwa More...

By Mtanzania Digital On Monday, May 21st, 2018
Maoni 0

NIKKI BELLA, JOHN CENA WARUDIANA

CALIFORNIA, MAREKANI HATIMAYE mwanamitindo Nikki Bella na mkali wa mchezo wa mieleka, John Cena, wamemaliza tofauti zao na kurudiana baada ya kudaiwa kuachana. Wawili hao ambao walitangaza kuwa wapo kwenye mipango More...

By Mtanzania Digital On Monday, May 21st, 2018
Maoni 0

BLAC CHYNA ‘AMBWAGA’ YBN ALMIGHTY JAY

NEW YORK, MAREKANI STAA wa mitindo nchini Marekani, Blac Chyna, amethibitisha kuachana na mpenzi wake, YBN Almighty Jay, baada ya kusema kuwa yupo singo kwa sasa. Blac mwenye umri wa miaka 30, alikuwa kwenye uhusiano More...

By Mtanzania Digital On Monday, May 21st, 2018
Maoni 0

AMBER ROSE AKANUSHA KUTOKA NA LIL PUMP

WIKI iliyopita picha ya mrembo, Amber Rose na rapa Gazzy Garcia maarufu kwa jina la Lil Pump, zilileta mjadala kuwa wawili hao wapo kwenye uhusiano, lakini mrembo huyo amekanusha taarifa hizo. Picha hiyo ilikuwa More...

By Mtanzania Digital On Friday, May 18th, 2018
Maoni 0

AFYA YA RICK ROSS YAKAA SAWA

MIAMI, MAREKANI RAPA Rick Ross, ameweka wazi kuwa afya yake kwa sasa imekaa sawa na yupo tayari kwa ajili ya kuendelea na matamasha mbalimbali. Mkali huyo wa ‘Aston Martin Music’, wiki chache zilizopita alikuwa More...

By Mtanzania Digital On Friday, May 18th, 2018
Maoni 0

D’BANJ: NIMEFUNGA NDOA NA MUZIKI

LAGOS, NIGERIA MKALI wa muziki nchini Nigeria, Oladapo Oyebanjo maarufu kwa jina la D’banj, ameweka wazi kuwa bado ana deni kubwa kwenye muziki kwa kuwa amefunga ndoa na kazi hiyo. Msanii huyo mwenye umri More...

By Mtanzania Digital On Friday, May 18th, 2018
Maoni 0

BADO MIAKA MITANO DAVIDO KUACHA MUZIKI

LAGOS, NIGERIA NYOTA wa muziki nchini Nigeria, David Adeleke ‘Davido’, ametangaza kuwa amebakisha miaka mitano kuachana na maisha ya muziki. Msanii huyo ambaye ametajwa kuwania tuzo ya Black Entertainment More...

By Mtanzania Digital On Friday, May 18th, 2018
Maoni 0

AFANDE SELE AIKUBALI NDOA YA ROMA

NA SHARIFA MMASI-DAR ES SALAAM MKALI wa hip hop nchini, Seleman Msindi ‘Afande Sele’, amesema anavutiwa na ndoa ya msanii mwenzake, Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’, kwani inamkumbusha furaha aliyowahi kuwa More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, May 16th, 2018
Maoni 0

ALLY KIBA AWACHANA MASTAA WA KIKE

NA SHARIFA MMASI-DAR ES SALAAM NYOTA wa Bongo Fleva Afrika Mashariki na Kati, Ally Kiba, amewataka wanawake maarufu kwenye soko la muziki na filamu Tanzania, kuitumia ipasavyo mitandao ya kijamii kwa manufaa ya More...