25.9 C
Dar es Salaam
Friday, December 13, 2024

Contact us: [email protected]

Krystyna ndiye Miss World 2024

Na Mwandishi Wetu

Mrembo kutoka Jamhuri ya Czech, Krystyna Pyszkoran ameshinda taji la Miss World 2024, huku mwakilishi wa Tanzania @halimakopwe akiingia katika 40 bora kati ya washiriki 112.

Shindano hilo la Miss Wold 71, limefanyika Mumbai nchini India usiku wa Machi 9,2014

Halima Kopwe

Mwakilishi huyo wa Tanzania ambaye ni Miss Tanzania 2022 , pia alifanikiwa kuingia katika 10 bora ya kipengele cha ‘Beuty With a Purpose Project’.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
592,000SubscribersSubscribe

Latest Articles