By Mtanzania Digital On Thursday, June 29th, 2017
Maoni 0

YUDA THADEY: MLEMAVU MWENYE VIPAJI LUKUKI ANAYEWIKA MWANGA

Yuda Thadey akiwa kazini Na Mwandishi Wetu, UNAPOKUTANA ana kwa ana na kijana Yuda Thadey, lazima nafsi yako itaurejea utukufu wa Mungu. Hakika hutoamini kwamba kijana huyo mlemavu aliyepooza kuanzia kiunoni hadi More...

By Mtanzania Digital On Thursday, June 29th, 2017
Maoni 0

JINSI YA KUPATA MTOTO UNAYEMUHITAJI

Na MWANDISHI WETU, KATIKA urutubishaji, yai la mwanamke huwa linabeba chromosome X yaani XX na mbegu ya mwanamume hubeba chromosome XY. Chromosome X kutoka kwa mwanamke ikikutana na Y kutoka kwa mwanamume mtoto More...

By Mtanzania Digital On Thursday, June 29th, 2017
Maoni 0

UHABA WA DAMU UNAWATESA WAGONJWA MUHIMBILI

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akizungumza na Fransisca Alphone aliyejitolea kuchangia damu.   Na VERONICA ROMWALD – DAR ES SALAAM JARIBU kutafakari, kwa mfano umelazwa More...

By Mtanzania Digital On Thursday, June 29th, 2017
Maoni 0

RAIS TRUMP ATOA MASHARTI MAPYA YA USAFIRI KWA NCHI 6 ZA KIISLAMU

Rais Donald Trump ameweka masharti mapya ya maombi ya Visa kutoka kwa mataifa sita ya Kiislamu pamoja na wakimbizi wote, ambayo yanawataka kuwa na mtu wanaohusiana ama ushirikiano wa kibiashara na Marekani. Hatua More...

By Mtanzania Digital On Thursday, June 29th, 2017
Maoni 0

MALINZI MGUU NJE NDANI UCHAGUZI TFF

Rais wa TFF Jamal Malinzi Na ADAM MKWEPU-DAR ES SALAAM TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imesema bado inaendelea kuwashikilia viongozi wa juu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Rais Jamal Malinzi More...

By Mtanzania Digital On Thursday, June 29th, 2017
Maoni 0

MAALIM SEIF ALIA MCHEZO MCHAFU CUF

Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusu mambo yanayoendelea ndani ya chama hicho. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu,(Zanzibar), Nassor Ahmed Mazrui, More...

By Mtanzania Digital On Thursday, June 29th, 2017
Maoni 0

OFISA MTENDAJI, MWENYEKITI WAUAWA KIBITI

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Onesmo Lyanga, Na NORA DAMIAN-DAR ES SALAAM MAUAJI ya viongozi wa vijiji na askari polisi yameendelea kutokea katika Wilaya ya Kibiti mkoani Pwani na kuzidi kuzua hofu kwa wananchi. Usiku More...

By Mtanzania Digital On Thursday, June 29th, 2017
Maoni 0

KOMPYUTA ZAIBWA HALMASHAURI YA HAI

Na Safina Sarwatt, Hai WATUMISHI wa watatu wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani humo baada ya kuvunjwa kwa moja ya ofisi zao na kuibwa kompyuta sita. Kwa mujibu More...

By Mtanzania Digital On Thursday, June 29th, 2017
Maoni 0

WATUHUMIWA 13 WATOROKA KESI ZA KUKUTWA NA NYARA ZA SERIKALI

Na NORA DAMIAN-DAR ES SALAAM WATUHUMIWA katika kesi 13 zinazohusisha nyara za serikali zenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 800 zilizokamatwa ndani na nje ya nchi wametoroka na kusababisha kesi kukwama. Watuhumiwa More...

By Mtanzania Digital On Thursday, June 29th, 2017
Maoni 0

VIJANA NCHINI WAZIDI KUWA TEGEMEZI

Na JOHANES RESPICHIUS-DAR ES SALAAM ASILIMIA 64 ya vijana 2,000 waliofanyiwa utafiti nchi nzima hawana uhakika wa kupata fedha za kujikimu  na hawajui watakula nini kila wakiamka. Mratibu wa Utafiti wa Taasisi More...

Translate »