27.5 C
Dar es Salaam
Monday, October 2, 2023

Contact us: [email protected]

Ziyech atemwa Morocco

KATIKA kile kilichowashangaza wengi, jina la staa wa Chelsea, Hakim Ziyech, halimo kwenye orodha ya wachezaji walioitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Morocco.

Ziyech aliumia bega wiki chache zilizopita lakini amesharejea mazoezini na alitarajiwa kuichezea Morocco kwenye mechi mbili (Guinea na Sudan) za kufuzu fainali za Kombe la Dunia za mwakani.

Katika hilo, zimeibuka taarifa zinazodai kutoitwa kumetokana bifu lililopo kati yake na kocha Vahid Halilhodzic. Wawili hao wamewahi kuripotiwa kuingia kwenye vita ya maneno na hiyo ilitokana na kitendo cha Ziyech kuchelewa kujiunga na kambi ya timu ya taifa.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,770FollowersFollow
575,000SubscribersSubscribe

Latest Articles