31 C
Dar es Salaam
Tuesday, October 3, 2023

Contact us: [email protected]

True Music Banaponga watua Dar kwa kishindo

Na Mwandishi Wetu,Mtanzania Digital

KUNDI linalofanya vyema mkoani Kigoma la True Music Banaponga, limetamba kutikisa Dar es Salaam ikiwa ni siku chache zimepita tangu walipotua jijini humo.

Kiongozi wa kundi hilo, Follow Bugatti, ameiambia Mtanzania Digital kuwa kundi linaundwa na vijana wanne ambao ni yeye, Young Fisi, Daltonne Gwini na Huba chini ya Meneja Simon Denis kwa udhamini kwa Bushiri Dems anayeishi Marekani.

“Tumekuja kwa kishindo hapa Dar es Salaam kwasababu mpaka sasa hakuna kundi bora kama True Music Banaponga, tumekuja kufanya kolabo na wasanii wakubwa kama Whozu, Mabantu, Beka Flavour na wengine kibao chini ya udhamini mnono was kampuni ya Dems International Star,” amesema Follow.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,770FollowersFollow
575,000SubscribersSubscribe

Latest Articles