31.2 C
Dar es Salaam
Wednesday, December 11, 2024

Contact us: [email protected]

Hazard: Nitarudi kivingine, bado sijakwisha

STAA wa Real Madrid, Eden Hazard, amekiri misimu miwili akiwa klabuni hapo haikuwa mizuri lakini atarudi kwenye ubora wake hivi karibuni.

Hazard (30), alihamia Madrid mwaka juzi, huku usajili wake ukiingizia Chelsea mkwanja mrefu, euro milioni 100.

Majeraha yamekuwa kikwazo kikubwa kwa Mbelgiji huyo kwani amefunga mabao manne pekee katika mechi 43.

Aidha, nyota huyo amesema anataka kuweka kando kumbukumbu zote mbaya kuhusu kushuka kwa uwezo wake na kuanza kuonesha thamani yake Santiago Bernabeu.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
592,000SubscribersSubscribe

Latest Articles