24.8 C
Dar es Salaam
Thursday, September 21, 2023

Contact us: [email protected]

Fati, Pedri mikataba Barca

BARCELONA wako mbioni kuwapa mikataba mipya makinda wao wanaofanya vizuri kwa sasa, Ansu Fati na Pedri.

Kwa kiasi kikubwa, wawili hao wenye umri wa miaka 18 kila mmoja wanatarajiwa kuwa silaha ya Barca baada ya timu hiyo kumpoteza mfungaji bora wa muda wote, Lionel Messi.

Huku hayo ya mkataba mpya yakiendelea, tayari Fati ameshakabidhiwa jezi namba 10 aliyokuwa akivaa Muargentina huyo aliyetimkia PSG.

Mkataba wa Fati utakwisha mwakani ukiwa na kipengele kinachoipa Barca nafasi ya kumwongeza miaka miwili.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,690FollowersFollow
574,000SubscribersSubscribe

Latest Articles