22.2 C
Dar es Salaam
Monday, September 25, 2023

Contact us: [email protected]

Kipa Chelsea alimvuta Niguez

KIUNGO mpya wa Chelsea, Saul Niguez, amedai kuwa mlinda mlango wa timu hiyo, Kepa, ndiye aliyemshawishi kuelekea Stamford Bridge akitokea Atletico Madrid.

Kepa na Niguez wanafahamiana vizuri kwani wamekuwa pamoja kwa miaka minne sasa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Hispania.

“Kama (Kepa) asingekuwa hapa, huenda ningekuwa kwingine… Kucheza na mtu ambaye nimekuwa naye kwa muda mrefu kwenye timu za vijana za taifa ni jambo zuri sana,” amesema Niguez.

Akiwa na umri wa miaa 11, Niguez alijiunga na kituo cha kulea na kukuza vipaji cha Real Madrid, kabla ya kuibukia Atletico miaka miwili baadaye.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,717FollowersFollow
574,000SubscribersSubscribe

Latest Articles