29 C
Dar es Salaam
Wednesday, May 31, 2023

Contact us: [email protected]

Duka Lingine la Kubetia Lazinduliwa na Meridianbet Mtaa wa Fire Kariakoo

Meridianbet sasa mambo yanazidi kunoga ambapo kwa mwezi huu tu wa tatu wamezindua duka lingine pale Kariakoo Fire kwaajili ya kubetia kwani waliona uhitaji mkubwa wa wateja wao wakitaka kuhakikisha kuwa watu wote wanajua huduma nzuri wazitoazo ikiwemo ODD KUBWA na michezo ya kasino ya mtandaoni.

Maduka hayo ambayo yanazinduliwa kila mwezi na Meridianbet yanahakikisha kuwa wateja wao hawapati shida wakati wakitaka kufanya ubashri lakini pia wanaweza kuturbo endapo wanauhitaji na pesa ya haraka.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

 Baada ya uzinduzi wa duka hilo mtaa wa Fire, Mkuu wa kitengo cha maudhui Meridianbet Twaha Ibrahim Meridianbet; “Duka hili ambalo tumezindua ni la nne kwa mwezi huu, na hakika natumaini mmefurahi sisi kuwaletea duka hili kwaajili ya kuwarahisishia kwenye shughuli zenu za kubetia”

Twaha hakuishia hapo aliwashukuru watu wote ambao walihudhuria kwenye uzinduzi huo na kuwaambia kuwa hawajakosea kuchagua Meridianbet kwenye kubashiri kwani Meridianbet hutoa kile ambacho wanakitaka na pia ODDS KUBWA zipo hapa.

Pia tembelea tovuti ya Meridianbet www.meridianbet.co.tz kuona ongezeko la odds kubwa na machaguo kibao.

Meridianbet pia wana kile ambacho unakipenda ambapo michezo ya kasino ya matandaoni hapa ndipo mahali pake kuna sloti za kijanja na michezo rahisi kushinda kama Aviator, Poker na Roulette, jiunge Meridianbet uwe moja ya washindi wa kila siku. Pia unaweza kubashiri  mubashara mechi hizo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,212FollowersFollow
567,000SubscribersSubscribe

Latest Articles