TUME YABAINI MADUDU MALI ZA CCM

Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Tume ya kuhakiki mali za Chama Cha Mapinduzi (CCM), iliyoundwa na Rais John Magufuli, imebaini madudu ukiwamo utapeli na usimamizi mbaya wa mali hizo. Kamati hiyo iliyoundwa na Rais Magufuli kukagua mali za chama hicho, imefanya kazi hiyo kwa miezi mitano ambapo imekusanya taarifa, kuhakiki na kuchambua taarifa na nyaraka More...

by Mtanzania Digital | Published 3 days ago
By Mtanzania Digital On Wednesday, May 16th, 2018
Maoni 0

NI KUUMA, KUPULIZA AU KUZALIWA UPYA KWA SPIKA NDUGAI?

Na ELIZABETH HOMBO WAKATI Bunge la 11 likiendelea na vikao vyake kujadili Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2018/2019 jijini Dodoma, Spika wa Bunge hilo, Job Ndugai ameanza kuzua gumzo More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, May 16th, 2018
Maoni 0

MAREKANI, TANZANIA KIWAKILISHI CHA ‘DUNIA’ MBILI KATI YA TATU ZINAZOKIDHANA KUHUSU ISRAEL

JOSEPH HIZA, DAR ES SALAAM MAPEMA wiki iliyopita na wiki hii dunia imeshuhudia historia ikiwekwa kwa husiano za kidiplomasia linapokuja Taifa la Israel baada ya Tanzania na Marekani kwa nyakati hizo mbili tofauti More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, May 9th, 2018
Maoni 0

RAIS UHURU KENYATTA, VIONGOZI WENZAKO WAMEKUSIKIA?

Na Leah Mwainyekule      |            Mheshimiwa Uhuru Kenyatta, Rais wa Jamhuri ya Kenya; Salaam! Sikuwahi kufikiri kama ingekuja kutokea siku kama ya leo, ya mimi kuamua kukuandikia waraka huu nikiwa More...

By Mtanzania Digital On Sunday, May 6th, 2018
Maoni 0

DK. SHEIN AWAONYA WASAKA URAIS ZANZIBAR

Is-haka Omar, Zanzibar Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein amewaonya baadhi ya watu wanaofanya kampeni za kusaka urais wa Zanzibar kabla ya muda wa kufanya hivyo kufika More...

By Mtanzania Digital On Friday, May 4th, 2018
Maoni 0

PENEZA AMBANA MWIGULU WABUNGE KUZUIWA KUFANYA MIKUTANO

Gabriel Mushi, Dodoma Mbunge wa Viti Maalum (Chadema), Upendo Peneza amemtaka Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Mwigulu Nchemba kulieleza Bunge sababu za wabunge wa viti maalumu kuzuiwa kufanya mikutano ya hadhara More...

By Mtanzania Digital On Friday, May 4th, 2018
Maoni 0

MBUNGE ATAKA WAPINZANI KUACHA KUTAFUTA ‘KIKI’

Gabriel Mushi, Dodoma Mbunge wa Viti Maalumu, Ritha Kabati (CCM), amewataka wabunge wa vyama vya upinzani kuacha unafiki na kutafuta ‘kiki’ kwa kumkosoa Rais John Magufuli ndani ya Bunge lakini nje ya Bunge More...

By Mtanzania Digital On Monday, April 30th, 2018
Maoni 0

MADIWANI WASUSIA KIKAO WADAI KINAONGOZWA KIDIKTETA

Hadija Omary, Lindi Baadhi ya madiwani katika Manispaa ya Lindi, wamesusa kuchangia hoja kwenye kikao robo tatu ya mwaka cha Baraza la Madiwani wa Manispaa hiyo kwa siku mbili mfululizo, kwa madai kuwa Mwenyekiti More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, April 25th, 2018
Maoni 0

MAKONDA ANATUMIA NGUVU NYINGI KUPATA FAIDA FINYU

NINI kitatokea baada ya kukamilika kwa kampeni ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kuwasaidia kinamama ambao walitelekezewa watoto na wanaume waliowazalisha? Unaweza kuhisi kuwa kati ya wanawake hao, More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, April 25th, 2018
Maoni 0

TUNAMSUBIRI RAIS AJAYE WA ZANZIBAR

MWISHONI mwa Oktoba, 2015, yalitokea maajabu mawili katika nchi yetu kwa upande wa Zanzibar.  Ajabu la kwanza lilikuwa kwa aliyekuwa mgombea Urais kupitia Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Shariff Hamad, kuamua More...