MADIWANI WAASWA KUACHA USANII

Na PETER FABIAN MADIWANI wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza Wilaya ya Nyamagana   wametakiwa kuacha usanii wa kuendekeza mgogoro     baina yao na  Meya wa Jiji hilo, James Bwire pamoja na Mkurugenzi,  Kiomoni Kibamba. Wametakiwa kuacha  kutumia fedha za walipakodi kujilipa posho bila kufanya vikao vyenye tija  kuwaletea maendeleo wananchi. Ushauri More...

by Mtanzania Digital | Published 3 days ago
By Mtanzania Digital On Thursday, November 16th, 2017
Maoni 0

SHULE 10 ZAFUNGIWA KWA KUTOKAMILISHA USAJILI

    Na DERICK MILTON – BARIADI HALMASHAURI ya Mji wa Bariadi   imezifungia shule 10 zinazodaiwa kujiendesha kinyemela. Shule hizo zinadaiwa kutoa mafunzo kwa watoto bila ya kukamilisha taratibu za More...

By Mtanzania Digital On Saturday, November 11th, 2017
Maoni 0

DIWANI, MWENYEKITI KORTINI KWA KUCHOMA MALI ZA MWEKEZAJI

Na TWALAD SALUM-MISUNGWI DIWANI wa Kata ya Mabuki, Nicodemas Ihano (CCM) na Mwenyekiti wa Kijiji cha Mwanangwa kilichopo wilayani Misungwi Mkoa wa Mwanza, Faustine Malago (CCM), wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma More...

By Mtanzania Digital On Saturday, November 4th, 2017
Maoni 0

WAFANYABIASHARA WA MBAO WAMVAA MBUNGE, TANESCO

Na PASCHAL MALULU-SHINYANGA WAMILIKI wa viwanda vya mbao wa  Bukondamoyo waliopo Kata ya Mhungula Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, wamemtaka Mbunge wa Jimbo la Kahama Mjini, Jumanne Kishimba, kusimamia Shirika More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, October 25th, 2017
Maoni 0

WAZIRI AKERWANA RUSHWA VITUO VYA MIZANI

NA BENJAMIN MASESE- SHINYANGA SERIKALI imewaonya wafanyakazi wa mizani nchini   kuacha vitendo vya vitendo vya rushwa kuleta tija na ufanisi wa kazi zao katika usimamiaji na ulinzi wa barabara. Imesema ikiwa More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, October 25th, 2017
Maoni 0

MAAMBUKIZI YA MALARIA  YAPUNGUA MWANZA

Na JUDITH NYANGE MKOA wa Mwanza kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa afya umefanikiwa kupunguza kwa asilimia nne vifo vinavyotokana na   malaria kutoka asilimia 19.1 katika   miaka mine. Vifo hivyo vimefikia More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, October 25th, 2017
Maoni 0

VIWANDA VYA PAMBA  VYAZIDI KUPUNGUA 

Na HARRIETH MANDARI VIWANDA vya kuchambua pamba vimezidi kupungua katika mikoa ya Kanda ya Ziwa licha ya wadau wa zao hilo kuzidi kusisitiza kilimo cha mkataba cha zao hilo. Vilevile, bado tatizo la mbegu zisizokuwa More...

By Mtanzania Digital On Saturday, October 14th, 2017
Maoni 0

‘OKTOBA 30 MWISHO URASIMISHAJI MAKAZI’

Na BENJAMIN MASESE-MWANZA SERIKALI imetangaza siku ya mwisho ya mpango wa upimaji na urasimishaji makazi holela jijini Mwanza kuwa ni Oktoba 30, mwaka huu na imewataka wananchi kutambua kwamba, baada ya hapo maeneo More...

By Mtanzania Digital On Saturday, October 7th, 2017
Maoni 0

WAVUVI ILEMELA WASAIDIWA ZANA HALALI ZA UVUVI

Na ANNA RUHASHA-MWANZA VIJANA zaidi ya 12 wanaojishughulisha na uvuvi kwenye kambi ya Fuata Nyao iliyopo Mtaa wa Mihama Kata ya Kitangiri, Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, wamesaidiwa zana halali za kuvulia samaki More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, October 3rd, 2017
Maoni 0

WAFUGAJI WALALAMIKIA BEI YA MIHTASARI

Na RAMADHAN LIBENANGA-MOROGORO WAFUGAJI wilayani Mvomero Mkoa wa Morogoro, wamesema wamekuwa wakitumia fedha nyingi kununua mihtasari ya vikao vya vijiji ili kuzionyesha mamlaka mbalimbali jinsi walivyoruhusiwa More...

Translate »