26.6 C
Dar es Salaam
Sunday, October 1, 2023

Contact us: [email protected]

Video za ngono za Jennifer Lopez kuwekwa hadharani

JLo-Divorce-300x300NEW YORK, MAREKANI

ALIYEWAHI kuwa mume wa msanii nyota nchini Marekani, Jennifer Lopez ‘JLo’, Noa Ojani, amesema anatarajia kuachia video za ngono za mke wake huyo wa zamani.

Video hiyo ilichezwa na wapenzi hao wawili wakati walipokuwa katika uhusiano wa kimapenzi lakini ipo mikononi mwa mwanamume huyo ambaye waliachana miezi 11 tangu kufungwa kwa ndoa yao mwaka 1997.

Pia, Ojani amesema atatoa kopi nyingi za video hiyo ili iweze kusambaa kwa kuwa J. Lo ameshindwa kutimiza
makubaliano yao ambayo walikubaliana awali. Hii siyo mara ya kwanza kwa Ojani kutishia kuachia video hiyo, mwaka 2009 alitangaza kuiachia lakini hakufanya hivyo

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,770FollowersFollow
574,000SubscribersSubscribe

Latest Articles