27.2 C
Dar es Salaam
Thursday, June 13, 2024

Contact us: [email protected]

Demu wa Chris Brown atoka na nyota wa Man United

KarruechememphisdepayMANCHESTER, ENGLAND

ALIYEKUWA mpenzi wa msanii wa RnB nchini Marekani, Chris Brown, Karrueche Tran, amenaswa sehemu mbalimbali akiwa na mshambuliaji mpya wa klabu ya Manchester United, Memphis Depay.

Chris Brown aliachana na mpenzi huyo baada ya msanii huyo kuletewa mtoto na mpenzi wake wa zamani, Nia Guzman, miezi minne iliyopita.

Depay na mrembo huyo walionekana wakiingia katika maduka mbalimbali jijini Manchester na baada ya hapo walionekana wakiwa wote katika klabu ya Suburbia na Club Liv.

Awali Karrueche alionekana akiwa na Depay mara baada ya kujiunga na klabu ya Manchester United akitokea PSV Eindhoven katika kipindi cha majira ya joto.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
588,000SubscribersSubscribe

Latest Articles