30.2 C
Dar es Salaam
Wednesday, October 27, 2021

Belle 9: Siogopi wanasiasa

BelleNA CHRISTOPHER MSEKENA

MKALI wa RnB asiye na tuzo, Abelnego Damian ‘Belle 9’, ameweka wazi kwamba kujiamini ndiko kulikomfanya atoe video mpya ya wimbo wake wa ‘Shauri Zao’ licha ya pilika nyingi za kuelekea uchaguzi wa Oktoba 25.

Belle 9 alisema wengi walidhani ataogopa kuachia video hiyo mpya kwa hofu ya kukosa mashabiki kutokana na mchakato na mvutano mkubwa wa mashabiki wa muziki kuwa katika masuala ya siasa.

“Mimi siogopi wanasiasa, unajua watu wengi wanasahau kwamba kuna muda watu wanapumzika, wanahitaji kusikiliza na kutazama muziki ndiyo maana nimethubutu na video ya wimbo wangu imepokelewa vema tofauti na matarajio ya wengi,” alisema Belle 9.

Belle 9 amekuwa akipigiwa chapuo la kupata tuzo kila mashindano ya tuzo yanapofanyika licha ya kuingia katika chaguzi kadhaa lakini hukosa tuzo anazogombea, lakini mwenyewe

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
163,343FollowersFollow
522,000SubscribersSubscribe

Latest Articles