24 C
Dar es Salaam
Friday, April 26, 2024

Contact us: [email protected]

SUMU YA BUIBUI, TIBA YA KIHARUSI

Sydney, Australia 


WATAFITI kutoka Chuo Kikuu cha Queensland and Monash, walisafiri hadi kisiwa cha Fraser,   Australia kuwawinda na kuwashika buibui hatari wa nchi hiyo.

Watafiti hao wanasema kuwa protini iliyopo katika sumu ya buibui inaweza kusaidia kulinda ubongo kutokana na jeraha baada ya kiharusi.

Inaelezwa kuwa wanasanyasi waligundua kwamba tiba ya protini hiyo ilifanya kazi ilipotumiwa katika panya wa maabara.

Wanasema  ilionyesha kwamba inaweza kuwa tiba nzuri katika siku zijazoi lakini haijajaribiwa miongoni mwa binadamu.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles