27.5 C
Dar es Salaam
Tuesday, February 7, 2023

Contact us: [email protected]

SHILOLE ATOA AJIRA KWA WADADA WATATU

Na ESTHER GEORGE


MSANII wa muziki Tanzania, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, amewataka wadada wajitokeze kwa wingi kwa ajili ya ajira aliyoitangaza ya kutafuta wasaidizi kwenye biashara yake ya kuuza chakula.

Shilole alisema mwisho wa kupokea maombi ya wadada hao wanaotaka kazi hiyo ni leo.

“Unajua hususani wanawake tumekuwa tegemezi sana, kitu ambacho hakitakiwi inahitaji tuamke na kujibidiisha, nimetoa fursa hii kwa wadada wenzangu watatu ili nao waweze kujikimu kimaisha kama mimi,” alisema Shilole.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
208,885FollowersFollow
561,000SubscribersSubscribe

Latest Articles