28.1 C
Dar es Salaam
Friday, October 11, 2024

Contact us: [email protected]

SHAHIDI: MANJI ANATEMBEA KWENYE UZI MWEMBAMBA

Daktari Bingwa wa magonjwa ya moyo, Dk. Mustapha Bapumia kutoka Hospitali ya Agha Khan amemshangaa mfanyabiashara Yusuph Manji kuwa na vyuma vinne katika moyo licha ya umri mdogo alio nao.

Akitoa ushahidi wa utetezi mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Cyprian Mkeha wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo, katika kesi ya dawa za kulevya, inayomkabili mfanyabiashara huyo, daktari huyo amedai Manji anatembea kwenye uzi mwembamba hivyo inabidi ajiangalie sana.

Amedai Manji anatumia dawa mbalimbali za moyo na miongoni mwa dawa hizo zipo katika kundi la dawa za kulevya.

Katika utetezi wake, Manji anadai kwa siku anatumia dawa kati ya 30 hadi 35. Katika kesi hiyo, Manjia anadaiwa kutumia dawa za kuloevya aina ya heroin.

 

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
590,000SubscribersSubscribe

Latest Articles