24.8 C
Dar es Salaam
Tuesday, May 30, 2023

Contact us: [email protected]

Serie A, EPL, Ligue 1 NA Bundesliga kuchangamsha wikiendi hii

Meridianbet, Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

Ulimwengu wa soka unaendelea kunoga kwa michezo kadha wa kadha kuchezwa wikiendi hii. Ligi soka barani Ulaya katika ubora wake. Kwenye Meridianbet wikiendi hii;

Everton kuwaalika Tottenham Hotspurs Ijumaa hii. Baada ya kutoa suluhu na Brighton huku Mourinho akiambulia kipigo kutoka kwa Man United, sasa ni vita ya Carlo Ancelotti vs Jose Mourinho. Nani atamfunga paka kengele? Meridianbet tumekusogezea Odds ya 2.35 kwa Spurs.

Jumamosi Newcastle United uso kwa uso na West Ham United. The Hammers wanaitafuta nafasi ya kucheza Ligi ya mabingwa huku Newcastle wakijitutumua kusiingie matatani kuporomoka daraja. Hapatoshi! Ifuate Odds ya 2.15 kwa West Ham United kupitia Meridianbet.

Kule nchini Ujerumani kwenye Bundesliga, Wolfsburg kuwaalika Bayern Munchen. Bayern anamachungu ya kuvuliwa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa na wapinzani wao wa msimu uliopita – PSG. Hasira zitazaa matunda kwenye ligi ya nyumbani? Odds ya 2.05 kwa Bayern Munchen inakusubiri Meridianbet.

Jumapili tutarudi tena kwenye EPL, safari hii itakuwa ni zamu ya Arsenal vs Fulham. Uhondo mzima wa EPL unapatikana kwenye michezo ya mwishoni, lolote linaweza kutokea ndani ya dakika 90. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.89 kwa Arsenal.

Mchongo mzima wikiendi hii utakuwa kule kwenye Serie A, Napoli uso kwa uso na vinara wa ligi hiyo – Inter Milan. Japo Inter hawana mchezo wa kuvutia sana lakini matokeo ni kitu ambacho wanajitahidi kukitafuta. AC Milan na Juventus kazi wanayo katika kumfikia Inter Milan ya Antonio Conte msimu huu. Wataweza? Meridianbet tumekusogezea Odds ya 2.45 kwa Inter Milan.

Jumatatu tunaianzia pale Elland Road, Leeds United vs Liverpool. Mabingwa watetezi wa EPL hawana kombe lolote wanalopambania tena msimu huu, lengo kubwa ni kuingia Top 4, wataweza kupita kwa Marcelo Bielsa au yatawakuta yaliyomkuta Pep Guardiola? Odds ya 1.75 ipo kwa Liverpool kupitia Meridianbet.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,203FollowersFollow
567,000SubscribersSubscribe

Latest Articles