22.6 C
Dar es Salaam
Sunday, May 5, 2024

Contact us: [email protected]

SAUDI ARABIA: WANAWAKE RUKSA KUINGIA VIWANJA VYA MICHEZO

Saudi Arabia imeamua kuwa itawaruhusu wanawake kuhudhuria michezo katika viwanja vya michezo kwa mara ya kwanza kuanzia mwaka ujao.

Hii ikiwa na maana ya kwamba familia zitaweza kuingia kwenye viwanja vitatu vya michezo vya – Riyadh, Jeddah na Dammam.

Hata hivyo, hii ni hatua nyingine ya kuwapa wanawake wa Saudi Arabia uhuru zaidi, ambapo wiki chache zilizopita wanwake hao waliruhusiwa kuendesha magari kwa mara ya kwanza nchini humo.

Wanawake wa Saudi Arabia, kwa muda mrefu wamekuwa wakikabiliwa na swala la ubaguzi wa kijinsia lakini sasa hali inaanza kubadilika na wao wameanza kupata haki sawa na wanaume.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles