25.1 C
Dar es Salaam
Tuesday, December 10, 2024

Contact us: [email protected]

Rais Samia awasili Norway kwa ziara ya Kitaifa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan awasili Oslo, Norway kwa ajili ya Ziara ya Kitaifa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mfalme Harald V wa Norway mara baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo Februari 13, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya mapokezi yake katika Kasri la Kifalme, Oslo nchini Norway 13Februari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfalme Harald V wa Norway pamoja na Malkia Sonja mara baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo kwa ajili ya ziara ya Kitaifa Februari 13, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mfalme Harald V wa Norway mara baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo Februari 13, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Mfalme Harald V wa Norway wakati wa Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukiimbwa katika eneo la Mnara wa Kumbukumbu wa Taifa, Oslo nchini Norway, Februari 13, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Heshima kabla ya kuweka shada la maua katika Mnara wa Kumbukumbu wa Taifa, Oslo nchini Norway Februari 13, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua katika mnara wa kumbukumbu wa Taifa, Oslo nchini Norway Februari 13, 2024.
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
592,000SubscribersSubscribe

Latest Articles