26.9 C
Dar es Salaam
Monday, December 9, 2024

Contact us: [email protected]

Matukio kwa Picha: Rais Samia atembelea Bunge la Norway

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amewasili Oslo, Norway kwa ajili ya Ziara ya Kitaifa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Bunge la Norway (Storting) Svein Harberg katika Ofisi za Bunge hilo jijini Oslo Februari 13, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Bunge la Norway (Storting) Svein Harberg katika Ofisi za Bunge hilo Jijini Oslo Februari 13, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipeana mkono na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Bunge la Norway (Storting) Svein Harberg mara baada ya mazungumzo katika Ofisi za Bunge hilo Jijini Oslo Februari 13, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha wageni katika Ofisi za Bunge la Norway (Storting) Februari 13, 2024.
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
592,000SubscribersSubscribe

Latest Articles