28.2 C
Dar es Salaam
Tuesday, June 6, 2023

Contact us: [email protected]

Nani kufuzu hatua ya fainali kunako lugu ya UEFA na EUROPA?

Mbivu na Mbichi Kujulikana Baada ya Dakika 90.

Baada ya kutifuana kwenye michezo ya awali, mzunguko wa pili wa hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Uefa na Europa kuendelea wiki hii. Pata shika, nguo kuchanika ndani ya dakika 90.

Jumanne hii, Manchester City kuwaalika PSG katika dimba la Etihad Stadium. Pep Guardiola ameshaweka rekodi ya kuifikisha City hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa kwa mara ya kwanza, matokeo ya 2-1 akiwa ugenini yatamvusha kwenda hatua ya fainali?

Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.76 kwa City.

Jumatano, Chelsea watawaalika Real Madrid pale Stamford Bridge. Thomas Tuchel alisema katika mahojiano yake ya kwanza baada ya kutua The Blues “Kombe pekee nitakaloweza kupambania msimu huu ni Ligi ya Mabingwa na FA”, kwenye FA amefuzu hatua ya fainali, vipi Ligi ya Mabingwa? Zidane nae anapambania kutetea taji la LaLiga sambamba na kutwaa ubingwa wa Uefa, hapatoshi! Unaweza kuifuata Odds ya 2.30 kwa Chelsea kupitia Meridianbet.

Alhamisi hii kutakuwa na vita ya aina yake pale jijini Rome, Italia. AS Roma kuwaalika Manchester United. United ni kama ameshaweka mguu mmoja kwenye fainali baada ya kushinda 6-2 kwenye mchezo wa kwanza, Roma wataweza kupindua matokeo? Hili ni kombe pekee United wanaweza kubeba msimu huu, vita itaanza upya!!

Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.96 kwa United.

Arsenal kuwaalika Villareal pale Emirate Stadium. Unai Emery aliwaadhibu vijana wake wa zamani kwa magoli 2-1. Watakamilisha safari yao ya kuelekea fainali ya Europa msimu huu au Arteta atapindua meza na vijana wake kuchomoa betri? Meridianbet tumekusogezea Odds ya 1.91 kwa Arsenal. Karibu kwenye familia ya mabingwa!

- Advertisement -

Related Articles

2 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,307FollowersFollow
568,000SubscribersSubscribe

Latest Articles