23.2 C
Dar es Salaam
Tuesday, September 28, 2021

Mtumishi B awaweka tayari mashabiki zake

ARIZONA, MAREKANI

BAADA ya kufanya vizuri na wimbo El Shaddai, mwimbaji wa Injili anayeishi nchini Marekani, Mtumishi B, amewataka wapenzi wa muziki huo wamchagulie ngoma ipi ianze kutoka.

Akizungumza na Papaso la Burudani jana, Mtumishi alisema tayari ana nyimbo mbili ambazo ni Kwake Yesu na Upendo hivyo mashabiki wanaweza kumchagulia upi uanze kutoka kati ya hizo.

“Nashukuru Mungu mapokezi ya El Shaddai yalikuwa mazuri, sasa hivi nina nyimbo mbili ambao nataka mashabiki zangu wanichagulie kwa kuingia DM kwenye Instagram yangu ya @official_mtumishi_b na kuniambia ipi ianze,” alisema mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo.

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
158,460FollowersFollow
519,000SubscribersSubscribe

Latest Articles