27 C
Dar es Salaam
Friday, May 27, 2022

Abel Blessings aachia ‘Working On Me’

TEXAS, MAREKANI

MWONGOZAJI wa video ambaye pia ni mwimbaji anayeishi Houston, Texas, Marekani, Abel Blessings, amewaomba wapenzi wa muziki huo kupokea video ya wimbo wake, Working On Me.

Akizungumza na Papaso la Burudani jana, Blessings alisema  mbali na kuongoza video za wiambaji  mbalimbali nchini humo ana kipaji cha kuimba na katika wimbo huo amefanya makubwa.

“Huu ni wimbo wa kumshukuru Mungu kwa vile ambavyo anatenda kazi ndani yangu, naamini kila mmoja wetu kwa imani yake anatenga muda wa kumshukuru Mungu hivyo  wimbo huu ukawe chache ya kuendeleza utamaduni huo,” alisema Blessings.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
192,454FollowersFollow
541,000SubscribersSubscribe

Latest Articles