27.7 C
Dar es Salaam
Saturday, June 10, 2023

Contact us: [email protected]

Miraculo Lop’s aendelea kuipaisha Burundi

Bujumbura, Burundi

Msanii wa kikazi kipya kutoka Burundi, Miraculo Lop’s, ameendelea kuiwakilisha vyema nchi yake kwa kuachia wimbo LA SAPE ‘Sapologie’ wenye kuhamasisha utamaduni wa kuvaa na kupendeza.

Miraculo amekuwa na utaratibu wa kuachia nyimbo mfululizo huku akiwakilisha vyema nchi yake na kupitia wimbo LA SAPE au Dressed Up, amegusia utamaduni wa Burundi wa kupendeza.

“Nashukuru mapokezi ya LA SAPE yamekuwa mazuri, ni wimbo unao hamasisha watu kupendeza ambao ni utamaduni wetu watu wa Burundi, nitaendelea kuachia nyimbo nyingi kwa sababu naamini nina mashabiki wengi Tanzania na Afrika kwa ujumla, kwa nafasi yako unaweza kuingia YouTube kwenye chaneli yangu ya Miraculo Lopa ili kuona kazi zangu,” amesema Miraculo ambaye yupo chini ya The Scorpion Master.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,409FollowersFollow
568,000SubscribersSubscribe

Latest Articles