23.2 C
Dar es Salaam
Wednesday, August 10, 2022

Matukio kwa picha Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Kilimanjaro

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), Daniel Chongolo akifurahia jambo kutoka kwa Mwenyekiti, Fatma Mgonja wa Shina namba 2, tawi la Msasani kata ya Kaloleni, Wilaya ya Moshi mkoa wa Kilimanjaro.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), Daniel Chongolo akizungumza na wananchi mara baada ya kukagua mradi uboreshaji vibanda vya biashara wa Chama Old Moshi ikiwa sehemu ya ziara yake ya Chama pamoja na kukagua, kuhimiza na kusimamia Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi 2020 – 2025.
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
198,395FollowersFollow
550,000SubscribersSubscribe

Latest Articles