Waziri wa Maji, Juma Aweso (kulia) akimkabidhi Tuzo ya Utendaji bora Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) Mhandisi Cyprian  wakati wa mkutano wa tathimini utoaji wa huduma za maji mikoa ya Pwani na Dar es Salaam jana kwa Mwaka wa Fedha wa 2021, ambapo waziri ameahidi kwa mwaka wa fedha wa 2021 watahakikisha wanafikia mlengo kwa kukamilisha miradi yote ya maji. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi wa DAWASA, Mkuu wa Majeshi mstaafu, Jenerali, Davis Mwamunyange.
Waziri wa Maji, Juma Aweso akizungumza na wafanyakazi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira(DAWASA) wa mikoa ya Pwani na Dar es Salaam jana wakati wa mkutano wa tathimini utoaji wa huduma za maji mikoa hiyo kwa Mwaka wa Fedha wa 2021, ambapo waziri ameahidi kwa mwaka wa fedha wa 2021 watahakikisha wanafikia mlengo kwa kukamilisha miradi yote ya maji.
Waziri wa Maji, Juma Aweso akijaribu magari mpya ya kubebea majitaka yaliyonunuliwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) wakati wa mkutano wa tathimini utoaji wa huduma za maji mikoa ya Pwani na Dar es Salaam jana kwa Mwaka wa Fedha wa 2021, ambapo waziri ameahidi kwa mwaka wa fedha wa 2021 watahakikisha wanafikia mlengo kwa kukamilisha miradi yote ya maji.