23.7 C
Dar es Salaam
Saturday, September 23, 2023

Contact us: [email protected]

Man United waweka rekodi

USHINDI wa bao 1-0 dhidi ya Wolves jana umeifanya Manchester United kuwa timu iliyocheza mechi nyingi za ugenini bila kufungwa katika historia ya Ligi Kuu England (EPL).


Katika mchezo huo, Mashetani Wekundu walilazimika kusubiri hadi dakika ya 80 walipofungia bao hilo na Mason Greenwood.


Tangu ilipofungwa Liverpool mwanzoni mwa mwaka jana, Man United haijafungwa katika mechi 28 za ugenini ilizocheza hivi karibuni, ikishinda 18 na kutoa sare 10.
Matokeo hayo yameifanya Man United ifikiesha pointi saba, hivyo kukaa nafasi ya tatu kwenye msimamo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,699FollowersFollow
574,000SubscribersSubscribe

Latest Articles