22.8 C
Dar es Salaam
Thursday, October 6, 2022

Juve haiwataki Aguero, Hazard

KLABU ya Juventus haina mpango wa kumchukua Sergio Aguero, Eden Hazard wala Pierre-Emerick Aubameyang, licha ya klabu hiyo kuhusishwa na mastaa hao.


Awali, ilielezwa kuwa mmoja kati yao angesajiliwa na Juventus ili akazibe pengo la Cristiano Ronaldo aliyetimkia Manchester United.


Aidha, aliyefichua kuwa Juventus haina mpango na wachezaji hao ni mwandishi wa habari wa Italia ambaye amekuwa akisifika kwa kuibua taarifa za uhakika, Fabrizio Romano.


Kwa upande mwingine, alichokisema Romano ni kwamba mabosi wa Juventus wanaumiza kichwa kuona watakavyomnasa kiungo wa Borussia Dortmund, Alex Witsel.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
202,814FollowersFollow
554,000SubscribersSubscribe

Latest Articles