26 C
Dar es Salaam
Monday, March 4, 2024

Contact us: [email protected]

Pogba: Ronaldo bonge la usajili

KIUNGO wa Manchester United, Paul Pogba, amefurahishwa na ujio wa Cristiano Ronaldo kwa kuwa Mreno huyo ataongeza uzoefu kikosini.


“Hakuna asiyejua umuhimu wa kuja kwake. Tayari ni lejendari wa klabu… Ni jambo zuri kwetu, ametuletea uzoefu na ubora pia,” amesema Pogba akihojiwa na kituo cha televisheni cha Sky Sports News.


Katika stori nyingine, imeripotiwa kuwa leo Ronaldo amekamilisha zoezi la kufanyiwa vipimo huko Lisbon, Ureno.
Hivyo, mkali huyo anatarajiwa kucheza mechi yake ya kwanza Septemba 11, mwaka huu, siku Man United watakayovaana na Newcastle United.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
584,000SubscribersSubscribe

Latest Articles