22.1 C
Dar es Salaam
Tuesday, July 23, 2024

Contact us: [email protected]

Kiba awapa jina maalum mashabiki wake

Juliana Samwely TUDARCo

Msanii wa bongo fleva, Ali Kiba, amefurahishwa na kile wanachomfanyia mashabi wake na kuamua kuwapa jina maalum kwa kuwaida ‘Alikibabloodfans’.

Kiba amefunguka hilo katika ukurasa wake wa Instagram wakati akipokea zawadi ya picha  iliyochorwa sura ya baba yake mzazi na mchoraji  ambaye ni mashabiki wake.

“Katika safari yangu ya muziki nimepata nafasi ya kusafiri sehemu nyingi sana ,mashabiki zangu mimi huwaita Aikibabloodfans,wengi hunipa zawadi mbalimbali  zikiwemo picha  zangu zinazochorwa kwa mikono .

“Sikutegemea kama ningekutana na mtu ambae angenipa zawadi ya picha ya baba yangu ambae hatupo nae tena duniani, nashukulu kwa zawadi hii ambayo kwangu ni ya kipekee sana,” ameandika Kiba.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles