29.2 C
Dar es Salaam
Friday, September 30, 2022

Kardashian akomalia jina la Kanye West

Juliana Samwely TUDARCo na Mitandao

 Mrembo wa Marekani ambaye ni mke wa zamani wa rapa Kanye West amesema hataacha kutumia jina la West  licha ya  ‘X’ wake huyo kwenda mahakamani  kutaka kubalidi jina lake halali

Nyota huyo inadaiwa kuwa anataka kubadili jina lake kutoka Kanye Omari West na kuwa YE.

Chanzo cha karibu na nyota huyo, kimeliambia mtandao wa Tmz kuwa Kim hayupo tayari kuacha kutumia jina hilo la West  kwa kufata mwenendo wa Rapa huyo wa kutaka kubadili jina kisheria.

Pia Kim amesema itakuwa vizuri hata watoto wake wanne ambao ni North,Psalm,Chicago na Saint  kuendelea kutumia jina hilo la West.
.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
202,335FollowersFollow
554,000SubscribersSubscribe

Latest Articles