22.9 C
Dar es Salaam
Friday, May 27, 2022

K-6 kufanya makubwa Julai

UTAH, MAREKANI

BAADA ya kufanya vizuri na albamu yake fupi (EP) ya Carry Me Go, mwanamuziki mwenye asili ya Gambia anayeishi Utah, Marekani, Sulayman Sarr a.k.a K-6, amejipanga kuwapa raha zaidi mashabiki mapema Julai, mwaka huu.

Akizungumza na MTANZANIA jana, K6, alisema licha ya kuwa anaishi Marekani anaamini katika mashabiki waliopo Afrika ndio maana muziki wake huwa una vionjo vingi vya kiafrika.

“Nashukuru EP yangu ya Carry Me Go  ambayo nilishirikiana na BO, imefanya vizuri sana, sasa natarajia Julai 1, mwaka huu nitaachia ngoma yangu mpya ambayo itapatikana kwenye mitandao mbalimbali kama vile Spotify, Amazon, YouTube na mingine mingi kikubwa ni sapoti,” alisema K-6.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
192,429FollowersFollow
541,000SubscribersSubscribe

Latest Articles