28.5 C
Dar es Salaam
Wednesday, August 17, 2022

Enos Olik atajwa prodyuza bora Kenya

Enos Olik
Enos Olik

NAIROBI, KENYA

MTAYARISHAJI wa video za muziki nchini Kenya, Enos Olik, ametajwa kuwa ni bora katika kutayarisha video za wasanii mbalimbali ndani na nje ya Kenya.

Prodyuza huyo amefanya video za wasanii mbalimbali kama Nishike, Sura Yako, Still The One na Nerea  za Sauti Sol, Kioo (Jaguar), Ivo Ivo (Octopizzo), Come Over (Vanessa Mdee), Pamoja (P-Unit) na wasanii wengine wengi.

Katika watayarishaji watano bora nchini Kenya,  kati ya Young Wallace, J Blessing, Thomas Mboss, Sammy Dee, Olik ametajwa kuwa ni bora zaidi katika video za kisasa.

Hata hivyo inadaiwa kuwa Olik, gharama zake zimekuwa juu tofauti na wengine kutokana na ubora wa kazi zake.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
198,908FollowersFollow
550,000SubscribersSubscribe

Latest Articles