23.8 C
Dar es Salaam
Friday, September 22, 2023

Contact us: [email protected]

Diplomasia ya Rais Samia yawakosha Wajapan

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital

Mamia ya Marafiki wa Rais Dk. Samia Suluhu Haasn ambao ni raia wa nchi ya Japan wameonekana wakiwa na sare za kupendeza zenye picha ya Rais Samia zikiwa na maenoe yanayosomeka “Friends of Samia” yaani ‘Mimi ni Rafiki wa Samia‘wakiwa kwenye maonyesho ya Japani African Expo Osaka yaliofanyika leo Septemba 2, 2023.

Hii ni ishara ya Diplomasia ya Rais Dk. Samia duniani imezidi kushika kasi hasa katika nchi ya Japan ambapo wananchi hao wameonyesha jinsi wanavyoguswa na Uongozi wa Rais Samia Katika kukahakikisha Uchumi wa Tanzania unakua na ni kitovu cha Amani na Utalii duniani.

Umaarufu wa Rais Samia umeendelea kuongezeka siku hadi siku hiyo ikichangizwa na kazi nzuri ambayo ameendelea kuifanya akiwa rai wa Awamu ya Sita ya Jmhuri ya Muungano wa Tanzania.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,690FollowersFollow
574,000SubscribersSubscribe

Latest Articles