27.2 C
Dar es Salaam
Wednesday, February 8, 2023

Contact us: [email protected]

Diamond afungua shoo za Kimataifa Malawi

BAADA ya kupiga chini maonyesho kibao ya Kimataifa kwa sababu za ugonjwa wa  corona, staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amefungua ukurasa mpya nchini Malawi kwa kupiga shoo yake ya kwanza leo.

Mapema jana, Diaamond Platnumz alitua nchini humo na kupokewa na maelfu ya mashabiki  ambapo alipata muda wa kusalimiana nao kabla ya leo kutumbuiza kwenye shoo kubwa katika ufukwe wa Livingstone.

Aidha Diamond Platnumz ameanza kutangaza maonyesho yake mbalimbali atakayoyafanya kwenye nchi zilizolegeza masharti ya ‘lockdown’ kama vile Sudan Kusini atakapopiga shoo mbili kubwa, Desemba 25 na 26, mwaka huu.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
208,871FollowersFollow
561,000SubscribersSubscribe

Latest Articles