28.7 C
Dar es Salaam
Thursday, February 22, 2024

Contact us: [email protected]

Silvo Classic kuipasha tasnia ya mitindo

KUTOKA nchini Marekani, mwanamitindo anayekuja kwa kasi, Silvo Classic, ametamba kuwa miongoni mwa mipango yake ya hivi karibuni ni kuipaisha tasnia hiyo na kuitangaza Afrika Mashariki.

Akizungumzza na Swaggaz jana, Silvo ambaye ni miongoni mwa wanamitindo wanaoshiriki kwenye tuzo za Cleveland Youth Festival, alisema amekuwa akifanya tasnia hiyo kwa muda mrefu na anajivunia kuwa Mtanzania anayeiwakilisha vyema sanaa hiyo pande za Ohio, Marekani.

“Kwa hapa Ohio mimi sina mpinzzani, mimi ndio model mwenye ushawisho mkubwa kutokaana na kazi zangu pamoja na kuji-brand. Naonekana kwenye majaridaa na mitandao mikubwa kama hii hivyo moja kwa moja naitangaza Afrika Mashariki hapa Marekani,” alissema Silvo Classic.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
583,000SubscribersSubscribe

Latest Articles