DAVIDO ASHINDWA KULIPA ADA YA MWANAFUNZI

0
557

LAGOS, NIGERIA


NYOTA wa muziki nchini Nigeria, David Adeleke, ‘Davido’, amewashangaza mashabiki wake kwa kushindwa kumlipia mwanafunzi ada ya shule aliyoihitaji.

Inadaiwa wiki chache zilizopita shabiki mmoja wa msanii huyo alitembeza bakuli kuomba msaada kwa wadau mbalimbali ili apate fedha za kumwezesha kulipia ada, ndipo Davido alipojitokeza na kuahidi kumlipia ada hiyo.

Lakini cha kushangaza hadi sasa msanii huyo hakutekeleza ahadi yake kwa mtoto huyo, jambo ambalo limeleta mshangao kwa mashabiki wake kiasi cha kuamua kumshambulia mitandaoni.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here