30.4 C
Dar es Salaam
Friday, September 24, 2021

David Kalupa atuma salamu Bongo

CHRISTOPHER MSEKENA

STAA wa Afro Fusion kutoka Uganda, David Kalupa, amesema wimbo, Finally, umemfungulia milango mingi ikiwa ni pamoja na kumkutanisha na mashabiki wapya wa Tanzania.

Akizungumza na MTANZANIA, Kalupa mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), alisema anashukuru sapoti kubwa ambayo anaipata kutoka kwa mashabiki zake waliopo Bongo.


“Finally ni wimbo wa klabu ambao umenifungulia milango mingi Afrika Mashariki hasa hapo Bongo. Nipo kwenye maandalizi ya ngoma mpya hivyo mashabiki wakae tayari,” alisema bosi huyo wa New Voice Entertainment

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
157,873FollowersFollow
518,000SubscribersSubscribe

Latest Articles